Kila asubuhi AyoTV inakukutanisha na magazeti ya Tanzania kuhakikisha unazipata zote kubwa zilizoandikwa ndani, za leo ziko kwenye hii video, kubwa ikiwa ni kuhusu maneno ya mwisho aliyoyatoa Samuel Sitta kabla ya kifo chake, nyingine ni kuhusu chanzo cha ajali ya Noah iliyoua 18 hapohapo.
ULIKOSA? MTOTO KUZUNGUMZIA KIFO CHA SAMWEL SITTA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI