Feb 8 2016 Wizara ya Fedha na Mipango ilitoa Bilioni 12.3 kwa ajili shughuli za Mahakama ikiwa ni utekelezwaji wa ahadi aliyoitoa Rais Magufuli siku ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Mahakama duniani, February 9 jaji mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande amethibitisha kuwa hela zimeingia kwenye mfuko wa mahakama uliyopo benki kuu. Hii ni video ya jaji mkuu, waziri wa fedha Dk Philip Mpango na waziri wa katiba na sheria Dk Harrison Mwakyembe ikielezea full stori hapa.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFBYOUTUBE