Mwaka 2009 Polisi Mjini Kwara Nigeria waliamua kumuweka rumande mbuzi kwa madai ya kuwa huyo alikuwa mtu (Mwizi) aliyeamua kutumia uchawi kujigeuza mbuzi ili atoroke. Walikuwa wawili wakitaka kuiba gari, mmoja akatoroka na mwigine alibaki akajigeuza mbuzi.
Ilikuwa ni Januari 2009 ambapo Polisi nchini Nigeria walimkamata mbuzi na kumuweka rumamnde kwa madai alikuwa anatuhumiwa kufanya jaribio la kuiba kwa kutumia silaha
Daily Mail waliripoti January 23, 2009 Polisi walimkamata mbuzi huyo mweusi na mweupe wakisema ni mnyang’anyi mwenye silaha ambaye waliamini kuwa ni mwizi (mtu) aliyetumia uchawi kujigeuza kuwa mnyama ili kutoroka baada ya kujaribu kuiba gari aina ya Mazda huko Kwara.