Mshambuliaji msomi raia wa Kenya Michael Olunga imeripotiwa kuwa Japan imemuahidi kiasi cha euro milioni 600 sawa na Trilioni 1.5 kama atakubali kubadili uraia wake wa Kenya na kuwa raia wa Japan.
Japan ni nchi ambayo Olunga amekuwa na jina kubwa kupitia club yake ya Kashiwa Reysol ya daraja la pili nchini huo kuifanyia makubwa, Olunga ni mshambuliaji tegemeo.
Kufunga magoli 8 na kutoa assist mbili katika ushindi wa 13-1 vibonde Kyoto Sanga, kumeifanya timu yake kumaliza msimu kwa kishindo na kurejea Ligi Kuu ya Japan msimu ujao, Kashiwa ndio Mabingwa wa Ligi daraja la pili.
VIDEO: Samatta baada ya kupokea comments zinazodai hachezi vizuri Taifa Stars