Jengo la kihistoria visiwani Zanzibar la Bait-Al Jaib (nyumba ya maajabu) lililopo Forodhani Mjini Unguja, ambalo ni miongoni mwa majengo ya urithi wa dunia yanayotambuliwa na UNESCO limeporomoka muda mfupi uliopita. Taarifa zaidi zinakuja baadae.