Feb 4 2016 Mbunge wa viti maalum CHADEMA Jimbo la Iramba Magharibi Jesca Kishoa aliingia kwenye headline baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge vilivyo salia baada ya kukataa kufuta kauli yake ya kumtuhumu Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe.
Leo amekamilisha siku ya pili ya adhabu yake, kama haukuwa karibu na mimi kwenye Amplifaya ya Cloudsfm nimekusogezea na hapa.
Bonyeza Play kusikiliza
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwapia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.