Kamanda wa Jeshi la Polisi Mwanza ACP. Jumanne Murilo amesema wanazo taarifa za watu ama kikundi cha watu kutaka kufanya fujo baada ya kutangazwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu hapo jana
“Zipo taarifa ambazo tunazifatiria kwa karibu sana za vikundi vya watu na baadhi ya watu wanapanga njama za kufanya fujo ama vurugu, hatuta kubali Askari tupo mtaani” RPC Murilo