Mwimbaji Jessie J amefichua jina la mtoto wake mchanga baada yakufikisha mwezi mmoja .
Mwimbaji huyo mwenye unri wa miaka , 35, alimkaribisha mtoto wake wa kwanza duniani mwezi Mei akiwa na mpenzi wake Chanan Safir Colman, akitangaza kwamba moyo wake ulikuwa umeongezeka maradufu kwa furaha na matarajio makubwa ya kuongezeka kwa mtoto huyo kwenye familia yao japo hakuwa amelitaja jina lake.
‘Hisia hazielezeki ninaruka kwa upendo ni halisi ndoto zangu zote kutimia. Yeye ndiye ulimwengu wangu wote,’ alisema wakati huo
‘The feeling is indescribable I am flying in love. He is magic. He is literally all my dreams come true. He is my whole world,’ she shared at the time.
‘Yeye na mimi sote tupo vizuri. Ninalowa kila sekunde na bado siamini kwamba ni kweli, au yupo namimi sasa.’
‘He and I are both doing great. I am soaking up every second and still can’t believe he is real, here and mine.’
Kupitia Instagram siku ya Jumatatu, alichapisha picha ya kupendeza ya mwanawe huyo akiwa amevalia jumper yenye neno ‘tabasamu’.
‘Mans like… Sky Safir Cornish Colman 🐻**☁️🌅,’ aliandika kwenye nukuu.