Jezi mpya za msimu wa 2024/2025 hizi hapa zitatumika kwenye mechi mbali mbali za timu ya Namungo FC muundo wa nyumbani (HOME) na ugenini (AWAY) zimezinduliwa leo tarehe 16-08-2024 .
Namungo FC tumejipanga kuwapa washabiki wetu furaha na tabasamu pamoja na burudani ndani na nje ya Uwanjani Huu ndo muda wetu.