Mwanzilishi wa mtandao wa kijamii wa JAMII FORUMS Maxence Melo ameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam leo baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya siku 5 ambapo baada ya kupata dhamana hiyo ameyaongea yafuatayo
‘Sina shida na vyombo vya dola, sina shida na muhimili wa Mahakama unafanya kazi yake, sina shida na yeyote’ – Mwanzilishi wa JF Maxence pic.twitter.com/V8lt3ze0KC
— millard ayo (@millardayo) December 19, 2016
VIDEO: Majaliwa ashtukia kifo cha Faru John, Taasisi zashtukiwa rushwa awamu ya tano, bonyeza play kwenye hii video hapa chini