Leo March 21, 2018 Mkurugenzi wa Idara ya Sheria Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Paul Kisabo amezungumza na AyoTV na millardayo.com nje ya Mahakama amezungumzia kuhusu Abdul Nondo kupandishwa Mahakamani mkoani Iringa.
“Tulipata taarifa kuwa Nondo amesafirishwa usiku wa leo, tumeongea na wawakilishi wetu wa Iringa, bado hatujapata maamuzi ya kule wamesemaje” -Paul Kisabo