Leo February 26, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya inatarajia kutoa hukumu ya kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ya kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli itakayotolewa leo.
Wakili wa kujitegemea Jebra Kambole kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha na kumtakia heri Sugu katika hukumu ya kesi yake leo ambapo ameandika na kutabiri kuwa kutokana na Sheria iliyopo “adhabu yake kifungo cha miezi sita”
Habari na Updates kutoka Jijini Mbeya endelea kukaa karibu na AyoTV kwa Ku-SUBSCRIBES katika Channel yetu ya Youtube kwa jina la ‘Millard Ayo’ kwa kubonyeza HAPA ,kaa karibu na Ukurasa wa Twitter wa Millardayo_ Instagram Millardayo, Facebook Page ni Millard Ayo.
BREAKING: ‘SUGU’ ALIVYOFIKA MAHAKAMANI, UKAGUZI ULIOPO
BREAKING: CHADEMA WAZUNGUMZIA MAUAJI YA DIWANI WA KATA YA NAMALA