July 23 2016 madereva wa mabasi ya abiria katika kituo cha mabasi mjini bukoba mkoani kagera waligoma kutoa huduma kwa lengo la kushinikiza mahakama kuwaachia madereva wenzao waliokamatwa kwa makosa ya mwendokasi.
Baada ya mgomo huo leo July 25 2016 mkurugenzi mkuu wa SUMATRA Gilliard Ngowi ametangaza kusitishwa kwa leseni za madereva hao 18 ambao hawakufuata utaratibu na sheria za kazi na ajira na kuamua kugoma
ULIKOSA HILI AGIZO LA WAZIRI MKUU MAJALIWA KWA MAWAZIRI WOTE TANZANIA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI