Leo April 13, 2018 Viongozi wa CHADEMA, akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe wameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi Central, kama walivyoamriwa na Mahakama ya Kisutu kuripoti kituoni hapo kila siku ya Ijumaa.
Mbali na Mbowe wengine waliofika ni Katibu Mkuu, Vicent Mashinji, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu.
MAGAZETI: Ufisadi wa kutisha CHADEMA,Video yamvuruga Nandy, Mawaziri kumjibu CAG