Rais Magufuli leo April 6, 2018 amemshukuru Mzee Jumanne Ngoma aliyevumbua madini ya Tanzanite mwaka 1967 na kutambuliwa na Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere mwaka 1980.
Rais Magufuli amempa Milioni 100 kwa kutambua mchango mkubwa alioutoa kwa Taifa kuvumbua madini hayo, yanayopatikana Tanzania pekee.
Nae Mzee Jumanne Ngoma amemshukuru Rais Magufuli kwa kutambua mchango wake wa kuvumbua madini ya Tanzanite na amesema anaamini sasa madini hayo yatapata thamani inayostahili.
Rais Magufuli alivyokabidhi Toyota Land Cruiser mpyaa aliyoahidi