Usiku wa May 10, 2018 Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu siku ya amemuonya Rais wa Syria Bashar al-Assad asijaribu kukabiliana na mashambulizi ya anagani nchini Syria.
Netanyahu amesema Israel haitoiachia Iran iwe na nguvu nchini Syria na kuongeza kwa kusema kuwa mashambulizi ya mabomu dhidi ya Iran nchini Syria yalikuwa sahihi kwa ajili ya kujibu mashambulizi ya roketi yaliyofanywa na vikosi vya Iran.