Leo September 28, 2018 Nimekutana na video fupi katika ukurasa wa Instagram wa Ikulu Mawasiliano inayoonesha Maendeleo ya ujenzi wa Upanuzi wa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
Ujenzi umefikia asilimia 82 na Gerson Msigwa ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais anakuambia hiki ni kishindo cha Serikali ya awamu ya tano ya Dr. John Magufuli.