Serikali imependekeza muswada wa sheria kwa watoto ambapo imeelekeza kuwa mtu atakayempa mimba mtoto atahukumiwa kifungo cha jela miaka 30, mbunge wa Njombe mjini Edward Mwalongo amesema hata wale wakinamama wanaopewa mimba na watoto nao wapewe adhabu ya kifungo kwakuwa ni kitendo cha kuwapandikiza majukumu watoto wadogo.
ULIMISS HII YA SERIKALI IMETANGAZA MUSWADA MPYA WA SHERIA YA WANAOWAPA WATOTO MIMBA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE