Saa kadhaa zilizopita kwenye mitandao ya kijamii kumekuwepo na taarifa kwamba Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anaeshughulikia Muungano na Mazingira January Makamba amekamatwa na Polisi juu ya ishu ya taarifa za tukio la Mohammed Dewji.
Sasa Mh. January Makamba ameongea na kusema hakukamatwa na Polisi kama ilivyoripotiwa na yuko salama, bonyeza play hapa chini kupata yote aliyosema.
VIDEO: NENO LA ASKOFU GWAJIMA BAADA YA MOHAMMED DEWJI KUPATIKANA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
VIDEO: IGP SIRRO ALIVYOFIKA ENEO AMBALO MO DEWJI ALITELEKEZWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA