Leo June 21, 2018 tunayo story kutokea kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ambapo imefanya tathimini ya usajili wa wanafunzi wanaoomba mikopo ambapo wanafunzi 18,000 wamekamilisha maombi yao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Abdul- Razaq Badru amewataka wanafunzi kuwahi kuwasilisha maombi yao kabla muda haujaisha, pia amewataadharisha wanafunzi kuepuka matapeli.