Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma amewaapisha mawakili wapya kutoka pande zote za Tanzania miongoni mwa mambo aliyowataka Mawakili kuyazingatia ni kuwa waadilifu na kuacha kuchukua rushwa.
“Mawakili wasiwe vikwazo vya haki, mawakala wa rushwa kuwa sehemu ya rushwa inapelekwa kwa Majaji na Mahakimu ili waharakishe kesi, kuacha kusemasema ovyo siri za mteja, kamati ya mawakili imekumbana na kesi ya wakili kughushi, maadili ni muhimu,” – Jaji Mkuu Prof. Juma
“Mawakili kutayarisha mikataba miwili kwa ajili ya kudanganya, unaposhindwa kuendesha kesi mteja anaweza kukushitaki na akadai fidia, kuwaibia wateja fedha, kuchukua kesi ambayo una maslahi nayo binafsi,” – Jaji Mkuu Prof. Juma
CCM YAMTANGAZA ATAEWANIA NAFASI YA NYALANDU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA