Kumekuwa na baadhi ya taarifa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu afya ya spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai kuwa ni mgonjwa ndiomaana haonekani katika shughuli za bunge.
Leo June 8 2016 ofisi ya bunge Dodoma imetoa taarifa rasmi inayosema..’Hali ya spika ni njema na yupo nchini India kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake kufuatia maelekezo ya daktari wake kumtaka afanye hivyo‘
‘Tunawaomba watanzania wote wenye nia njema na spika wetu waendelee kupuuza taarifa zinazotolewa kupitia mitandao ya kijamii na waendelee kumwombea ili afya yake iimalike haraka na kurejea nchini mapema.‘
ULIIKOSA HII? MABASI YA MWENDOKASI ZAIDI YA 30 YAMEPATA AJALI, MILIONI 90 ZIMETUMIKA KUYATENGENEZA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE