Aliyekuwa Spika wa Bunge ambae pia ni Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai, leo ameanza kuhudhuria vikao vya Bunge la Bajeti 2022/2023 tangu kujiuzulu Uspika January 06 mwaka huu.
Ndugai ameonekana leo ikiwa kinafanyika kikao cha sita cha mkutano wa saba wa Bunge la 12 siku ambayo Bunge linatarajia kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2022/23.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.