Rais Magufuli amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria kuanzia leo May 02,2020, Nchemba anachukua nafasi ya Balozi Mahiga aliyefariki Dunia jana May 01,2020.