Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli ameagiza mmiliki wa kiwanda cha kubangua korosho cha YALIN Mkoani Mtwara kuuziwa tani 30,000 za korosho kwa bei ya Shilingi 3700 na kwa kiwanda kingine cha korosho kitakachohitaji kwa bei hiyo.
“Na kwamba mitambo iliyopo ina uwezo wa kubangua tani 10,000 na kama mambo yakiwa mazuri mtaongeza hadi kufikia kubangua tani 40,000″ Rais Magufuli
AJALI MPAKANI MWA RWANDA NA TANZANIA WAMEFARIKI WAWILI, 35 WAJERUHIWA