Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya stori kubwa ni hii ya gazeti la Nipashe yenye kichwa cha habari ‘Magufuli kujaza vijana Serikalini‘ Gazeti hili limeripoti kuwa Magufuli amesema kuanzia sasa wateule wengi wa Serikali watakuwa vijana kwa kuwa amegundua wengi hawapendi rushwa.
Gazeti hilo limeongeza kauli ya Rais Magufuli kuwa anafahamu kwamba vijana hawapendwi lakini amegundua ndio wachapakazi ambao watasaidia kulipeleka Taifa katika maendeleo anayoyatamani kwani aliowaweka tayari ameshaanza kuona matunda ya kazi zao.
Rais Magufuli aliyasema hayo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa makandarasi wa mikoa ya Dar es salaa, Mbeya na Dodoma.
#NIPASHE Rais Magufuli asema serikalini watakua vijana kwa kuwa amegundua wengi hawapendi rushwa na ndio wachapakazi pic.twitter.com/KqLCmP5k53
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
#NIPASHE Bunge limependekeza wanafunzi wanaonufaika na mikopo wasipewe vyeti vyao hadi pale watakaporejesha mikopo pic.twitter.com/SEmR6lQDMv
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
#NIPASHE Baadhi ya Wabunge wamependekeza sheria ya ukimwi irekebishwe ili kuwapima watanzania wote VVU kwa lazima pic.twitter.com/IUi2VQWjOQ
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
#TanzaniaDAIMA Kamati ya Bunge imesema hali ya elimu nchini ni mbaya hivyo ni hatari kwa usalama wa taifa pic.twitter.com/Xhv2LDs5hq
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
#MWANANCHI Abiria mabasi yaendayo haraka wiki ijayo wataanza kutumia kadi maalumu za kielektroniki badala ya tiketi pic.twitter.com/ig2MsSZiUe
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
#MAJIRA Mrema amesema Maalim Seif alipaswa kukamatwa kwa kukiuka sheria za nchi ili kulinda maslahi ya Taifa pic.twitter.com/CmBNywfKs0
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
#HabariLEO Vifaranga 5000 vya kuku wa mayai vimekamatwa uwanja wa ndege Dar vikiingizwa nchini kwa vibali bandia pic.twitter.com/kkAgTGnd2O
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
#MTANZANIA Zuio la baa kufungwa asubuhi limeanza kuporomosha mauzo ya bia zinazozalishwa na viwanda vya ndani pic.twitter.com/N59Za8lQYq
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
#NIPASHE Takukuru baada ya kuzindua kampeni ya 'longa nasi' imepokea matukio 8000 yaliyohusishwa na rushwa pic.twitter.com/58pSj3ai2X
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
#MWANANCHI Waziri Mbarawa asema wakati umefika wazee TTCL kuwaachia vijana kwa kuwa hivi sasa kuna ushindani mkubwa pic.twitter.com/UxSdxek6E9
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
#NIPASHE Serikali yasisitiza kutoongeza muda wa kuzifungia simu feki, inataka watanzania wajifunze kufuata utaratibu pic.twitter.com/58oCXTWInO
— millardayo (@millardayo) May 27, 2016
ULIIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI ALIVYOTANGAZA KUTENGUA UKUU WA MKOA WA ANNE KILANGO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE