Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora.
Makungu anachukua nafasi ya Dkt. Thea Ntara ambaye amestaafu.
Uteuzi wa Makungu unaanzia leo April 20, 2018 na tarehe ya kuapishwa kwake itapangwa baadaye.
CAG, Katibu Mkuu walivyohojiwa na Rais Magufuli kuhusu TRILIONI 1.5
RIP AGNESS MASOGANGE: Mwili wake ukipelekwa Muhimbili