Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dr. John Magufuli leo May 21, 2018 amepokea ripoti ya tume aliyoiunda kuhakiki mali za chama hicho, iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa tume hiyo Dr. Bashiru Kakurwa katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba DSM.
Baada ya kikao cha kupokea ripoti kumalizika Rais Magufuli amezungumza na wananchi na wanachama wa CCM waliokuwa nje ya Ukumbi wa Lumumba.
Maagizo ya JPM baada Naibu Katibu CCM kutajwa katika ripoti uhakiki mali