Baada ya Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali anayedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana kupatikana, uongozi wa juu wa chama chake umelitaka Jeshi la Polisi kutoa taarifa za awali kuhusu sakata la kijana huyo kabla ya wao kuchukua uamuzi wa kutoa taarifa hizo.