Kampuni ya mavazi ya kihispania inayojulikana kwa jina la Balenciaga, ubunifu wake wa mavazi ya ‘Tshirt Shirt’ umezua gumzo katika mitandao ya kijamii na kuonekana kama wametengeza vazi flani hivi la ajabu.
Balenciaga wametengeneza ‘Tshirt Shirt’ ambayo ni vazi geni kuonekana likiwavaliwa yaani, muonekano wake inaonesha kuwa nyuma ni Tshirt halafu kwa mbele limeshonewa shati juu yake.
Kubwa la kushangaza ni bei ya vazi hilo ambalo inaripotiwa kuwa linauzwa dola 1290 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 2 za kitanzania, nikujulishe tu Banciaga ni kampuni ya mitindo ambayo ilianzishwa mwaka 1919 na mwanamitindo Cristobal Balenciaga.
Wema Sepetu ameenda kufanyiwa upasuaji India, mahakama imetoa maagizo