Jeshi la Polisi Dodoma linamshikilia kijana anayefahamika kwa jina la Rajabu Ramadhani Kambi mwenye umri wa miaka 23 anayedaiwa kujipatia huduma mbalimbali kwa njia za udanganyifu huku akijifanya ni Askari Polisi na kuwatishia watu kwa kutumia silaha bandia huku akiwa na sare za Jeshi hilo. Kamanda wa Polisi Gilles Muroto amewaita Waandishi wa habari ofisini kwake na kuwaelezea hali halisi ilivyokuwa.
CCM DODOMA YASHINDWA KUVUMILIA SAKATA LA KINANA NA MAKAMBA “HATUA KALI ZICHUKULIWE”