April 8, 2019 Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto ametangaza kupiga marufuku maandamano ambayo yanadaiwa kufanywa na chama cha ACT-Wazalendo kwa kushirikiana na vyama vingine kwa lengo la kushinikiza Spika kufuta azimio la Bunge la kutofanya kazi na CAG Prof. Mussa Assad ambapo ameahidi kutoa kipigo kikali kwa wale wote watakaokiuka marufuku hiyo.
Waziri Medadi Kalemani Mbele ya Rais Magufuli kuhusu Mradi wa Umeme Songea