Huduma ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF umeahidi kufanya kazi kwa ufanisi kwa wakazi wa Ukerewe baada ya kuwasogezeahuduma hiyo katika wilaya hiyo na kuwezesha upatikanaji wa huduma hiyo kwa haraka tofauti na ilivyokuwa mwanzo ambapo walikua ni lazima waende hadi Mwanza ikiwa ni umbali wa kilometa 500.
Kwa kipindi kirefu wakazi wa Ukerewe wamepata shida katika kupata huduma hizi ambapo wa sasa shida hiyo imekwisha.
Imeelezwa kuwa suala hili pia litapunguza kwa wateja wa huduma hii adha ya kulipa tozo ya asilimia 5 kila mwezi ambayo hukatwa pindi wanachama wanapochelewa kupeleka michango yao.
Ulipitwa na hii? MAHAKAMANI: Kesi ya Naibu Waziri wa Fedha wa zamani leo