Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa wakati akichangia mapendekezo yake katika muswada wa marekenisho ya sheria ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, sura 103 ambapo miongoni mwa ushauri wake Serikali ni kuheshimu mikataba inayokubaliana na wawekezaji ili kuweza kuboresha mahusiano bora.
Walichozungumza Mbunge Sugu na Mke wake kwenye msiba Mikumi