Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya hapa kubwa za leo na waweza kuzipata huko
#HabariLEO Vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati Muhimbili vimetajwa kupungua kutoka 28.8% mwaka 2014/15 hadi 19.8% kwa mwaka 2015/16 pic.twitter.com/BmtAIsBfe4
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#MWANANCHI Daktari feki akamatwa hospitali ya mkoa wa Dodoma akiwa ktk harakati za kuwaonyesha wagonjwa kliniki ya wajawazito pic.twitter.com/PCC4gZTtPH
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#MWANANCHI TPA yapokea boti mbili za kisasa za kuhudumia meli kutoka China zitakazotumika ktk bandari za DSM na Tanga pic.twitter.com/aUKrp5udZ5
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#MWANANCHI Utafiti uliofanyika hivi karibuni Australia unaonyesha kuwa wanywaji wa pombe wapo kwenye hatari ya kupata saratani ya tezi dume pic.twitter.com/oGtYsJLxcv
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#JamboLEO Wakuu mikoa 7 hatarini 'kutumbuliwa' kutokana na kushindwa kutimiza agizo la JPM la kukamilisha utengenezaji madawati kwa wakati pic.twitter.com/N1vDULbfx8
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#NIPASHE WHO imebainisha kuwa baada ya miaka 10 magonjwa ya moyo na kisukari yatachangia 20% ya vifo vya watu pic.twitter.com/xjeFLJNLBN
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#NIPASHE Bodi ya mikopo imesema majina ya wadaiwa yanayojirudia ni ya watu tofauti, majina yafanana na siyo taarifa nyingine za wahusika pic.twitter.com/IF0s7vm6fq
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#NIPASHE Watumishi 11 idara ya afya Mbarali Mbeya wamefukuzwa kazi baada ya uhakiki wa vyeti kuwabaini kuwa na vyeti feki pic.twitter.com/8ID3SurEyH
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#NIPASHE Idadi ya wanawake wanaopewa talaka na kutelekezwa na familia imeongezeka na kuathiri wanawake na watoto Zanzibar pic.twitter.com/f3bJbS7oFz
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#MTANZANIA Agizo la JPM 'kufyeka' mishahara ya vigogo wa Serikali waliokuwa wakilipwa hadi mil 40 kwa mwezi limeanza kutekelezwa pic.twitter.com/hsKeLWMCM8
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#MTANZANIA Wanawake wanaojifungua mfululizo ktk muda mfupi wako hatarini kuzaa watoto njiti ikilinganishwa na wanaozaa kwa mpangilio pic.twitter.com/ByOKlfSrb6
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#MTANZANIA CHADEMA imekuja na mkakati mpya wa mikutano ya ndani uliyopewa jina la amsha amsha itakayodumu kwa siku 40 nchi nzima pic.twitter.com/UXrRGx3tzQ
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#TanzaniaDAIMA TAKUKURU kumchunguza kamanda Sirro kwa tuhuma za rushwa zilizoelekezwa kwake na mkuu wa mkoa wa DSM, Paul Makonda pic.twitter.com/WGfPzNpvK3
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#TanzaniaDAIMA Waziri Simbachawene amemkingia kifua DED Misungwi, Eliud Mwaiteleke kwa kudai kwamba hakumlazimisha mwalimu kupiga deki pic.twitter.com/JYuuU4BrzP
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#TanzaniaDAIMA Mwanafunzi UDOM amefikishwa ktk mahakama ya wilaya ya Dodoma akikabiliwa na tuhuma za kufadhili ugaidi pic.twitter.com/yfel8WJcEc
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
#UHURU Mahakama Tarime imempandisha kizimbani ofisa Forodha wa TRA kituo cha Sirari, kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya mil 15 pic.twitter.com/EEPttoT7xp
— millardayo (@millardayo) November 18, 2016
VIDEO: CHADEMA yaja na amsha amsha nchi nzima, Mishahara ya vigogo yafyekwa