Leo January 4 2018 Waziri wa Nishati, Medard Kaleman amefanya ziara katika kampuni ya kuzalisha umeme ya Songas na kutoa maagizo mbalimbali, mojawapo ni kwa kampuni hiyo kuhakikisha wanatoa taarifa endapo kuna tatizo kabla ya kukata umeme ili wananchi wasipate kero.
HALI YA USAFIRI MOSHI: Abiria wakaa stendi siku tatu bila usafiri Moshi