Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita Mponjoli Mwabulambo ametolea ufafanuzi wa tukio la watoto wa darasa la nne kutoka shule tofauti wanaodaiwa kufunga ndoa May 11 mwaka huu katika mtaa wa Afya Kata ya Ludete Mamlaka ya Mji mdogo Katoro mkoani Geita.