Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya DSM Marison Mwakyoma amewataka madereva wa vyombo vya moto kuhakikisha wanaendesha vyombo hivyo kwa kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali.
Kamanda Mwakyoma ametoa kauli hiyo leo Jijini DSM wakati akifunga mafunzo ya madereva yaliyofanyika kwa siku kumi ambapo amesisitiza suala la sheria kutopindishwa kwa namna yoyote pamoja na kutoa wito kwa madereva hao kutotumika vibaya kisiasa.
“Kipindi hiki ambacho nchi inaelekea kufanya uchaguzi mkuu madereva wanapaswa kuacha mihemko hasa kampeni za uchaguzi mkuu zitakapoanza” Marison Mwakyoma
ALIEMSHINDA ASKOFU GWAJIMA KURA ZA MAONI KAWE AFUNGUKA “NINA MBINU NYINGI ZAIDI”