Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) tawi la Zanzibar imeanzisha mafunzo maalum ya kozi ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano kwa kuwadhamini watengeneza vifaa vya mawasiliano (mafundi simu).
Ufunguzi huo wa kozi umehudhuriwa na mgeni rasmini ambae ni Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Rahma Kassim, Polisi na TCRA.