The Giraffenap ni mtindo mpya wa kulalia ambao huhimiza usingizi wa nguvu wakati wa mchana kama njia ya kuboresha umakini na ufanisi wa kazi.
Japani ni nchi yenye bidii sana ambayo inasisitiza kujitolea kupita kiasi kwa kazi ya mtu hata kwa gharama ya afya ya mtu huyo au ustawi wake kwa ujumla.
Ili kustahimili aina hii ya ratiba ngumu na mafadhaiko, wafanyikazi wengine wa Kijapani hugeukia usingizi mfupi uliopitiliza.
Sasa Ili kurahisisha watu kupata usingizi wa nguvu mahali popote, kampuni moja imeanza kuweka vitanda maalum vya kulalia vilivyo wima vinavyoitwa ‘Gireaffenap’ katika migahawa mingi.
Mabanda hayo ya kulalia ya Gireaffenap kwa sasa yanapatikana katika sehemu mbili – kielelezo cheupe, na kinachoiga muundo wa kitamaduni wa mianzi na hutoa mvuto mkubwa wa sauti, mbalimbali zilizopangwa kushawishi usingizi, na mfumo wa uingizaji hewa wakati umelala