May 27 2016 Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza kwenye kituo kikubwa cha mabasi yaendayo haraka Kimara Mwisho Jijini Dar es salaam na kuyajibu maswali ya wananchi wanaotumia usafiri huo.
Moja ya swali kwenye video fupi hapo chini baada ya picha ni swali la mmoja wa watumiaji wa usafiri huo aliyeomba kuondolewa kero ya kukaa masaa matatu kwenye vituo ambapo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amejibu kuwa barabara hizo zina magari 140 ambayo ndio yameanza lakini mpango uliopo ni kufikia magari 305 kwa hiyo yatakapofikia idadi hiyo changamoto hiyo itaisha.
ULIKOSA HII YA JPM KUSEMA MAZITO, WADAIWA VYUO VIKUU KUKAMATWA KIRAHISI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE