Ni headlines za msemaji wa Chama cha Mapinduzi CCM, Humphrey Pole Pole ambapo October 23, 2018 alikutana na wasanii kutoka Bongo Flevani na Bongo Movie pamoja na wadau kujadili mchongo na maslahi mapana ya wana tasnia.
Pole pole alipata nafasi ya kuzungumza kwenye Ayo TV na millardayo.com kuhusiana na wasanii wa Bongo Fleva kutumika kwenye kampeni za CCM.