Waziri mteule wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema Tanzania itaendelea kuwa katika mahusiano mema na mataifa mbalimbali na hakuna kitakachoharibika.
Balozi Mulamula ameahidi kutumia uzoefu wake wa muda mrefu katika mahusiano kuifanya Tanzania iendelee kuaminika zaidi.