Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wamepokea ripoti ya TAKUKURU ambayo ilikuwa na mambo mengi ikiwemo ya ufisadi, ambapo Rais Magufuli alisifia wanawake licha ya kuwa katika ripoti hiyo kulikuwa na Mwanamke aliyewatapeli wafanyakazi wenzie, hivyo kwenye matukio makubwa ya kukwepa kodi wanawake ni wachache.