Baada ya Serikali kupandisha tozo ya usajili wa namba binafsi za magari kutoka milioni 5 hadi 10 kwa miaka mitatu katika bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017, mbunge wa viti maalum CCM Kiteto Koshuma alisimama bungeni kukosoa hatua hiyo kuwa ni kupunguzia mapato serikali kwakuwa itapunguza watu wa kujisajili.
‘Naamini lengo la serikali lilikuwa ni zuri, lakini ukiangalia wakati kodi ikiwa ni milion 5 watu walioweza kusajili namba zao walikuwa ni wachache, sasa ukisema iongezwe hadi kufikia milion 10 inawezekana tukawapoteza hata hawa ambao walikuwa wakichangia mapato‘ –Kiteto Koshuma
ULIMISS MAMBO SITA YA GOODLUCK BAADA YA KUVULIWA KOFIA YA BARAGHASHIA BUNGENI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE