Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Wilaya ya Ukerewe na kabla ya kuanza ziara yake ameongea na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe ambapo Waziri Mkuu ametoa saa 72 kwa Mkurungezi wa Ukerewe Frank Bahati pamoja na mweka hazina wa Halmashauri Peter Kishau kutoa majibu ya Pesa jumla ya Milioni 257.5, ambazo hazijulikani zilipo.
Serikali ilitoa Pesa za miradi Milioni .425, Pesa Milioni 221.5 hazijulikani zilipo, madai ya Walimu Milioni 84, Milioni 23 hazijulikani zilipo pamoja na Pesa za Watumishi Milioni 56 na Milioni 13 hazijulikani zilipo.
“Serikali itagharamia mazishi ya Mwanafunzi aliyeuawa” -Prof. Ndalichako