PICHA: Rais Magufuli alivyoondoka kuelekea nchini Uganda
Share
1 Min Read
SHARE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo February 21, 2018 ameondoka Jijini Dar es salaam na kuelekea Kampala nchini Uganda kushiriki mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amesindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda wakati akeielekea kwenye ndege yake tayari kwa safari ya kuelekea nchini UgandaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ameagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kupanda ndege kuelekea nchini Uganda.
DC Madusa aagiza Polisi kukamata Wanaojiuza, kuvaa Vimini na Milegezo ili wakafyatue Tofali