Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kichere leo February 20, 2018 wakati akitoa taarifa ya uchunguzi dhidi ya Kanisa linalomikiwa na Askofu Kakobe la Full Gospel Bible Fellowship ameeleza kwamba Askofu huyo amemuandikia barua Rais Magufuli ya kumuomba msamaha.
TRA wamesema wakati wanaendelea kumchungumza Askofu Kakobe January 24, 2018 Askofu huyo alimwandikia barua Rais Magufuli kumuomba radhi na aliomba radhi kutokana na kauli ya kebei pamoja na matamshi ya dharau kwamba ana hela nyingi kuliko Serikali.
BREAKING NEWS: Uchunguzi wa TRA kwa Askofu Kakobe “Kuna BILIONI 8” (FULL VIDEO)