January 25, 2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla aliita Waandishi wa Habari ofisini kwake Dodoma ambapo ametaja baadhi ya majina ya watuhumiwa wa Ujangili nchini na kuagiza wafike ofisini kwake kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Waziri Kigwangalla pia ametoa siku saba kwa Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua vigogo wanne waliohusika kwenye mauaji ya Kikatili kwa Mkurugenzi wa wa Shirika lisilo la kiserikali la PALMS Foundation, Wayne Lotter yaliyofanyika Septemba 16, 2017
BILIONI 660 ZIMETOLEWA NA SERIKALI KUBORESHA JIJI LA DAR ES SALAAM