Askari wawili wa JWTZ kikosi cha 24 KJ Mkoani Kigoma, waliofariki Dunia katika ajali iliyotokea jana September 26 Mkoani Katavi baada ya gari la jeshi lililokuwa limebeba askari kupinduka, miili yao imesafirishwa leo kwa Helicopter kutoka Mkoani Kigoma kuelekea DSM ili Kuendelea na taratibu za mazishi.
Aliyeongoza zoezi la kuaga miili hiyo ni Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Samson Anga na zoezi limefanyika katika uwanja wa ndege wa Kigoma.
HISTORIA YA NELSON OLOTU, RUBANI ALIEFARIKI AKIWA NA MTOTO WA MKUU WA MAJESHI